Joshua 19:47

47 a(Lakini Wadani walipata shida kuimiliki eneo nayo, kwa hiyo walipanda kuishambulia Leshemu, wakaitwaa, wakawaua watu wake kwa upanga na kuukalia. Walikaa Leshemu na kuuita Dani kufuatana na jina la baba yao.)

Copyright information for SwhKC