Judges 1:22

22 aBasi nyumba ya Yusufu wakashambulia Betheli, naye Bwana alikuwa pamoja nao.
Copyright information for SwhKC