Judges 5:31


31 a“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana!
Bali wote wakupendao na wawe kama jua
lichomozavyo kwa nguvu zake.”

Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.
Copyright information for SwhKC