Leviticus 10:3

3 aKisha Musa akamwambia Haruni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia
nitajionyesha kuwa mtakatifu;
machoni pa watu wote
nitaheshimiwa.’ ”

Haruni akanyamaza.

Copyright information for SwhKC