Leviticus 16:8

8 aHaruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya Bwana na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi.
Yaani Azazeli , maana yake mbuzi wa ondoleo la dhambi ; pia ms. 10, 26.
Copyright information for SwhKC