Leviticus 19:11-13
11 a“ ‘Usiibe. “ ‘Usiseme uongo. “ ‘Msidanganyane. 12 b“ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 13 c“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Copyright information for
SwhKC