‏ Leviticus 19:36

36 aTumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa ▼
▼ Efa kilikuwa kipimo cha vitu vikavu.
halali, na hini ▼
▼ Hini kilikuwa kipimo cha vitu vimiminika.
halali. Mimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.

Copyright information for SwhKC