Leviticus 23:22

22 a“ ‘Mnapovuna mavuno ya ardhi yenu, msivune hadi mpakani mwa shamba lenu, au kukusanya masazo ya mavuno yenu. Hayo utayaacha kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi Bwana Mwenyezi Mungu wenu.’ ”

Sikukuu Ya Tarumbeta

(Hesabu 29:1-6)

Copyright information for SwhKC