Luke 1:32-33

32 aYeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mwenyezi Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33 bAtaimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”

Copyright information for SwhKC