Luke 11:38-39

38 aYule Farisayo akashangaa kwamba Isa hakunawa kwanza kabla ya kula.

39 bNdipo Bwana akamwambia, “Sasa, enyi Mafarisayo, mnasafisha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa unyang’anyi na uovu.
Copyright information for SwhKC