Luke 20:1

Swali Kuhusu Mamlaka Ya Isa

(Mathayo 21:23-27; Marko 11:27-33)

1 a bSiku moja, Isa alipokuwa akifundisha watu Hekaluni na kuhubiri habari njema, viongozi wa makuhani, walimu wa sheria, pamoja na wazee wa watu wakamjia.
Copyright information for SwhKC