Luke 22:53

53 aSiku kwa siku nilikuwa pamoja nanyi Hekaluni lakini hamkunikamata. Lakini hii ni saa yenu, wakati giza linatawala!”

Petro Amkana Isa

(Mathayo 26:57-75; Marko 14:53-72; Yohana 18:12-27)

Copyright information for SwhKC