Luke 22:63-65
63 a bWatu waliokuwa wanamlinda Isa wakaanza kumdhihaki na kumpiga. 64Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” 65 cWakaendelea kumtukana kwa matusi mengi.Isa Apelekwa Mbele Ya Baraza
(Mathayo 26:59-66; Marko 14:55-64; Yohana 18:28-38)
Copyright information for
SwhKC