Luke 5:15-16

15 aLakini habari zake Isa zikazidi sana kuenea kotekote kuliko wakati mwingine wowote. Makutano makubwa ya watu yalikuwa yakikusanyika ili kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. 16 bLakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba.

Isa Amponya Mtu Mwenye Kupooza

(Mathayo 9:1-8; Marko 2:1-12)

Copyright information for SwhKC