Malachi 3:8-9
8 a“Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia mimi. “Lakini mnauliza, ‘Tunakuibia kwa namna gani?’ “Mnaniibia zaka na dhabihu. 9 bMko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.
Copyright information for
SwhKC