Mark 10:32

32 aWalikuwa njiani wakipanda kwenda Yerusalemu, na Isa alikuwa ametangulia. Wanafunzi wake walishangaa, nao watu waliowafuata walijawa na hofu. Isa akawachukua tena wale wanafunzi wake kumi na wawili kando na kuwaambia yatakayompata.
Copyright information for SwhKC