Matthew 13:52

52 aAkawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.”

Isa Akataliwa Nasiri

(Marko 6:1-6; Luka 4:16-30)

Copyright information for SwhKC