Matthew 17:24
24 aBaada ya Isa na wanafunzi wake kufika Kapernaumu, wakusanya kodi ya Hekalu ▼▼ Kodi ya Hekalu ilikuwa didrachmas, yaani drakma mbili, ambazo ni sawa na nusu shekeli.
wakamjia Petro na kumuuliza, “Je, Mwalimu wenu halipi kodi ya Hekalu?”
Copyright information for
SwhKC