Matthew 21:15-16

15 aLakini viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walipoona mambo ya ajabu aliyofanya na kuwasikia watoto wakishangilia katika eneo la Hekalu wakisema, “Hosana Mwana wa Daudi,” walikasirika.

16 bWakamuuliza Isa, “Je, unasikia hayo hawa wanayosema?”

Akawajibu, “Naam; kwani hamkusoma, “ ‘Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao
umeamuru sifa’?”

Copyright information for SwhKC