Matthew 24:2
2 aNdipo Isa akawauliza, “Je, mnayaona haya yote? Amin, nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, bali kila moja litabomolewa.”Ishara Za Nyakati Za Mwisho
(Marko 13:3-23; Luka 21:7-24)
Copyright information for
SwhKC