Matthew 3:12

12 aPepeto lake liko mkononi mwake, naye atasafisha sakafu yake ya kupuria, na kuikusanya ngano ghalani na kuyateketeza makapi kwa moto usiozimika.”

Isa Abatizwa

(Marko 1:9-11; Luka 3:21-22)

Copyright information for SwhKC