‏ Micah 2:3

3 aKwa hiyo, Bwana asema: “Ninapanga maangamizi dhidi ya watu hawa,
ambayo hamwezi kujiokoa wenyewe.
Hamtatembea tena kwa majivuno,
kwa kuwa utakuwa ni wakati wa maafa.
Copyright information for SwhKC