Micah 4:1
Mlima Wa Bwana
(Isaya 2:2-4)
1 aKatika siku za mwisho mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwakama mlima mkuu miongoni mwa milima yote;
utainuliwa juu ya vilima,
na watu wa mataifa watamiminika humo.
Copyright information for
SwhKC