‏ Numbers 18:16

16 aWatakapokuwa na umri wa mwezi mmoja, ni lazima mtawakomboa kwa bei ya ukombozi iliyowekwa, kwa shekeli tano ▼
▼ Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55.
za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, yenye uzito wa gera ishirini. ▼
▼ Gera 20 ni sawa na gramu 55.

Copyright information for SwhKC