Obadiah 13


13 aUsingeingia katika malango ya watu wangu
katika siku ya maafa yao,
wala kuwadharau katika janga lao
katika siku ya maafa yao,
wala kunyang’anya mali zao
katika siku ya maafa yao.
Copyright information for SwhKC