Proverbs 11:5-6


5 aHaki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka,
bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.


6 bHaki ya wanyofu huwaokoa,
bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya.

Copyright information for SwhKC