Proverbs 23:20-21


20 aUsiwe miongoni mwa wanywao mvinyo,
au wale walao nyama kwa pupa,

21 bkwa maana walevi na walafi huwa maskini,
nako kusinzia huwavika matambara.

Copyright information for SwhKC