Proverbs 24:1-2

1 aUsiwaonee wivu watu waovu,
usitamani ushirika nao;

2 bkwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri,
nayo midomo yao husema juu ya kuleta madhara.

Copyright information for SwhKC