Psalms 106:19-20


19 aHuko Horebu walitengeneza ndama,
na kuabudu sanamu ya kusubu kwa chuma.

20 bWaliubadilisha Utukufu wao
kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.
Copyright information for SwhKC