Psalms 106:43-45


43 aMara nyingi aliwaokoa
lakini walikuwa wamezama kwenye uasi,
nao wakajiharibu katika dhambi zao.


44 bLakini akaangalia mateso yao
wakati aliposikia kilio chao;

45 ckwa ajili yao akakumbuka agano lake,
na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake.
Copyright information for SwhKC