Psalms 111:9


9 aAliwapa watu wake ukombozi,
aliamuru agano lake milele:
jina lake ni takatifu na la kuogopwa.

Copyright information for SwhKC