Psalms 113:5-6


5 aNi nani aliye kama Bwana Mwenyezi Mungu wetu,
Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi,

6 bambaye huinama atazame chini
aone mbingu na nchi?

Copyright information for SwhKC