Psalms 12:2-4


2 aKila mmoja humwambia jirani yake uongo;
midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu.


3 b Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila
na kila ulimi uliojaa majivuno,

4 cule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda;
midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?”

Copyright information for SwhKC