Psalms 133:2


2 aNi kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani,
yakitiririka kwenye ndevu,
yakitiririka kwenye ndevu za Haruni,
mpaka kwenye upindo wa mavazi yake.
Copyright information for SwhKC