Psalms 37:1
Mwisho Wa Mwovu Na Urithi Wa Mwenye Haki
(Zaburi Ya Daudi)
1 ▼
▼ Zaburi hii imetungwa kila beti likianzia na herufi ya alfabeti ya Kiebrania zikifuatana tangu Aleph (A) hadi Taw (T); zote ni 22.
bUsisumbuke kwa ajili ya watendao maovu,wala usiwaonee wivu watendao mabaya,
Copyright information for
SwhKC