Psalms 37:35-36


35 aNimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi
kama mwerezi wa Lebanoni,

36 blakini alitoweka mara na hakuonekana,
ingawa nilimtafuta, hakupatikana.

Copyright information for SwhKC