Psalms 37:4-5


4 aJifurahishe katika Bwana
naye atakupa haja za moyo wako.


5 bMkabidhi Bwana njia yako,
mtumaini yeye, naye atatenda hili:
Copyright information for SwhKC