Psalms 48:1-2
Sayuni, Mji Wa Mungu
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora)
1 a Bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana,
katika mji wa Mungu wetu,
mlima wake mtakatifu.
2 bNi mzuri katika kuinuka kwake juu sana,
furaha ya dunia yote.
Kama vilele vya juu sana vya Safoni ▼
▼ Safoni inaweza ikawa na maana ya mlima mtakatifu au upande wa kaskazini.
ni Mlima Sayuni,mji wa Mfalme Mkuu.
Copyright information for
SwhKC