Psalms 48:4-6
4 aWakati wafalme walipounganisha nguvu,
waliposonga mbele pamoja,
5 bDan walimwona nao wakashangaa,
wakakimbia kwa hofu.
6 cKutetemeka kuliwashika huko,
maumivu kama ya mwanamke
mwenye utungu wa kuzaa.
Copyright information for
SwhKC