Psalms 49:16-17


16 Usitishwe mtu anapotajirika,
fahari ya nyumba yake inapoongezeka,

17 akwa maana hatachukua chochote atakapokufa,
fahari yake haitashuka pamoja naye.
Copyright information for SwhKC