Psalms 7:12-13


12 aKama hakutuhurumia,
atanoa upanga wake,
ataupinda na kuufunga uzi upinde wake.

13 bAmeandaa silaha zake kali,
ameweka tayari mishale yake ya moto.

Copyright information for SwhKC