Psalms 72:8-9


8 aAtatawala kutoka bahari hadi bahari
na kutoka Mto
Yaani Mto Frati.
mpaka miisho ya dunia.

9 Makabila ya jangwani watamsujudia,
na adui zake wataramba mavumbi.
Copyright information for SwhKC