‏ Psalms 74:14


14 aNi wewe uliyeponda vichwa vya Lewiathani ▼
▼ Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.

nawe ukamtoa kama chakula
kwa viumbe vya jangwani.
Copyright information for SwhKC