Psalms 9:6


6 aUharibifu usiokoma umempata adui,
umeing’oa miji yao;
hata kumbukumbu lao limetoweka.

Copyright information for SwhKC