Psalms 90:5-6


5 aUnawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo,
nao ni kama majani machanga ya asubuhi:

6 bingawa asubuhi yanachipua,
ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka.

Copyright information for SwhKC