Psalms 95:6-8
6 aNjooni, tusujudu, tumwabudu,
tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu,
7 bkwa maana yeye ndiye Mungu wetu,
na sisi ni watu wa malisho yake,
kondoo chini ya utunzaji wake.
Kama mkiisikia sauti yake leo,
8 cmsiifanye mioyo yenu migumu
kama mlivyofanya kule Meriba, ▼
▼ Meriba maana yake ni Kugombana.
kama mlivyofanya siku ile
kule Masa ▼
▼ Masa maana yake ni Kujaribiwa.
jangwani,
Copyright information for
SwhKC