Psalms 98:3


3 aAmeukumbuka upendo wake
na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli;
miisho yote ya dunia imeuona
wokovu wa Mungu wetu.

Copyright information for SwhKC