Revelation of John 19:5

5 aKisha sauti ikatoka katika kile kiti cha enzi, ikisema: “Msifuni Mungu wetu,
ninyi watumishi wake wote,
ninyi nyote mnaomcha,
wadogo kwa wakubwa!”

Copyright information for SwhKC