Revelation of John 19:7-9


7 aTufurahi, tushangilie
na kumpa utukufu!
Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia
na bibi arusi wake amejiweka tayari.

8 bAkapewa kitani safi, nyeupe
inayong’aa, ili avae.”

(Hiyo kitani safi inawakilisha matendo ya haki ya watakatifu.)

9 cNdipo malaika akaniambia, “Andika: ‘Wamebarikiwa wale walioalikwa kwenye karamu ya arusi ya Mwana-Kondoo!’ ” Naye akaongeza kusema, “Haya ndiyo maneno ya kweli ya Mungu.”

Copyright information for SwhKC