Revelation of John 2:7

7

a“Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa haki ya kula matunda toka kwa mti wa uzima, ambao uko katika paradiso
Paradiso hapa ina maana ya Bustani, yaani shamba dogo la miti izaayo matunda.
ya Mungu.

Kwa Kanisa Lililoko Smirna

Copyright information for SwhKC